KIPANYA ANAWEZA TUMUELEWE

Napenda sana kazi za kipanya ila sio yule mtembea kwa miguu anayetuambia sizo za nje!
 
Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya kwa sasa ameamua kuwakilisha kilo cha watanzania kwa watawala bila kuogopa wala kupepesa ebu tazameni hicho kibonzo kwa mwenye akili ataelewa
Kipanya 2015 wadanganye wazungusha mikono sio great thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…