Kipanya anawakilisha?

kipanya anakipaji cha ajabu na rakufurahisha ni kwamba amejua kipaji chake na anajua kukitumia. safi kipanya
viongozi wetu wanachekesha yaani tunawapisha barabarani wanapita na ving'ora tunawapishe wawahi huko waendako kwa maana kwamba wanamajibu ya maswali yetu. sasa badara ya kutujibu wanatuuliza tena he! kazi ipo
 
Kipanya ni bonge la mjasiriamali.....Huwa namfurahia sana.....

Umeona eeeeeeeeeeehhhhh!!!!! Kwa hiyo hapo anatutangazia gwanda letu. Atapataje wateja!!!!!!!!!! PEOPLE'SSSSSSSSSS POWER.
 
Jamani kama mtu hajui mlitaka ajibu nini, muungwana ni yule anayesema ukweli hata kama utamuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…