Uguswelana
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 106
- 199
Wakati wa ukoloni ilibidi mtu altobelewe sukio na kuwekewa kijikaratasi anatembe nacho sikioni ili awe identified kuwa tayari kishalipa kodi usipoonekana umelivaa unakamatwa unafungwa.
Hivi vitambulisho kwa mamachinga ni kipande system mana watu wote uwe una kazi huna kazi, mzee au mtoto lazima ulipe kodi tu mana lazima kuna shughuli unajishughulisha ili uishi.
Huu ni mwanzo tu wa kusema leta elf 20 na ujanja uliopo kuna expiry date which means kurew unaweza kuambiwa chochote kuwa leta ama laki au laki na zaid and the circle continues.
Ile kodi ya kichwa imerudi ambapo iliwatesa sana wazazi wetu kipindi.
E mungu tuepushe na kikombe hiki mana tunaenda kukinywa bila kupenda na mibunge imekaa kimya angalau fatuma karume amejitutumua.
Na kwa vile watanzania elimu ni ndogo wameshangilia wakati wanaenda kuangamia.