Kipande cha cupa kwa almasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipande cha cupa kwa almasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jun 17, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mambo yanavyoendeshwa hapa tanzania ni kama vile kubadilishana kipande cha chupa kwa kipande cha almasi.fikiria uwanja wa ndege kama kia unakodishwa kwa usd 1000.mrahaba unaotokana na madini nisawa na nusu ya robo ya mapato ya madini.mtu anasafirisha wanyama mpaka ndege inaruka ndio watu wanashtuka.richmond mpaka leo hajulikani mwenye nayo.naogopa kuna siku tutaambiwa tuhamie dodoma mikoa mingine yote imewekezwa.kama halipo laja
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  nchi ya majuha!
   
 3. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red:

  Tena kwa fedha "fake"
   
 4. N

  Ntandalilo Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona giza linazidi ujue pambazuko linakaribia...................... Stay tuned!
   
Loading...