Kipande cha cupa kwa almasi

Kipande cha cupa kwa almasi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
Mambo yanavyoendeshwa hapa tanzania ni kama vile kubadilishana kipande cha chupa kwa kipande cha almasi.fikiria uwanja wa ndege kama kia unakodishwa kwa usd 1000.mrahaba unaotokana na madini nisawa na nusu ya robo ya mapato ya madini.mtu anasafirisha wanyama mpaka ndege inaruka ndio watu wanashtuka.richmond mpaka leo hajulikani mwenye nayo.naogopa kuna siku tutaambiwa tuhamie dodoma mikoa mingine yote imewekezwa.kama halipo laja
 
Hapo kwenye red:

Tena kwa fedha "fake"
 
Ukiona giza linazidi ujue pambazuko linakaribia...................... Stay tuned!
 
Back
Top Bottom