Edward Misasi New Member Joined Feb 26, 2021 Posts 4 Reaction score 1 Feb 26, 2021 #1 Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana?
Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana?
E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,086 Feb 27, 2021 #2 Edward Misasi said: Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana? Click to expand... achana, na mambo ya usani mkuu, tunataka vipaji vya, kugundua vitu. Mgoogle ELON MUSK hapo utajua kipaji unacho kiongelea.
Edward Misasi said: Ila me najiuliza kibongo bongo wasanii wengi hawajasoma ila wametusua bila elimu, je ni kweli kipaji na elimu hutegemeana? Click to expand... achana, na mambo ya usani mkuu, tunataka vipaji vya, kugundua vitu. Mgoogle ELON MUSK hapo utajua kipaji unacho kiongelea.