Kipaji chako kina thamani zaidi ya fedha

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Watu waliogundua uwezo walionao, upekee na umaalumu na kuutumia kwa manufaa yao na ya jamii yao ndio waliofanikiwa zaidi kwenye ulimwengu wa leo.

Vipaji walivyonavyo vimegeuka kuwa mashine ya kuzalishia fedha na kuwapa kuishi maisha wanayoyataka.

Hebu soma hapa zaidi uweze kujifunza kutokana na kipaji chako ulichonacho => Kipaji chako kina thamani zaidi ya fedha | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom