kipa wa simba PIN PIN CAMARA ni free agent, simba wameachana nae

kipa wa simba PIN PIN CAMARA ni free agent, simba wameachana nae

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,198
I will be short

kipa bora wa ligi kuu, nyani šŸ’ pin pin camara ni free agent.

Screenshot_20250630_153622_Chrome.jpg
 
Wachezaji wengi waliosajiliwa simba msimu huu 2024-2025 walisainishwa kwa mwaka mmoja mmoja.

Simba walikwepa sana kuingia Gharama za kuvunja mkataba kwa mchezaji.

Saizi simba wana uhuru wa kumuongezea mkataba mchezaji ama kumuacha.
Inawezekana wewe ndio umeongea pwenti kuliko wote waliochangia hadi sasa.
 
Mna tabu sana kila mchezaji kwenu ni spesho sana kuwa hakosei mpaka anunulike. Mna mentality ya hovyo sana na ndio maana kila mara mnapoteza mchezo dhidi ya Yanga kisha mnawaza wachezaji kuwa wameuza mechi
So hapo tayari umehitimisha kuwa mi Simba au siyo ponjoro!?
 
Back
Top Bottom