Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 11, 2014 #1 Ni kipa wa timu iliyofungwa 7-0 na Yanga............akinukuliwa amesema kwamba si kwamba yeye ni mbovu ila safu ya ulinzi ya timu yake imemuangusha na yuko tayari kukipiga kwa mkopo hapa bongo...............
Ni kipa wa timu iliyofungwa 7-0 na Yanga............akinukuliwa amesema kwamba si kwamba yeye ni mbovu ila safu ya ulinzi ya timu yake imemuangusha na yuko tayari kukipiga kwa mkopo hapa bongo...............