Kioo cha samsung gallaxy s4 kimepasuka

ebay nimecheki now front glass ya s4 unapata as cheap as dola 5 tena inakuwa na tools zake za kuekea. inaskitisha kwamba umeambiwa karibia laki 2 ina maana wanaeka faida hadi 2000% kitu ambacho hakikubaliki. hivi hakuna mamlaka husika za kuripoti?

kaka tumia hii link kuangalia hicho unachotaka muombe hata mtu anaenunua ebay akununulie then umpoze kidogo na yeye

s4 front glass | eBay
 

Chief yaani inafedhesha sana sana hii kampuni kwa agent wa msimbazi sikuamini kabisa maana niliangalia front glass replacement tofauti tofauti na nikaona namna inavyofanyika na pia nikaangalia namna ya kujua kama TOUCH itakuwa imeathirika kwa kupiga *#0*# nikaona na kuthibitisha kuwa touch ni nzima kwa kutumia namba hizo....baadae nikafanya utafiti juu ya bei za front screen nikaona EBAY ni $5 tu na vifaa pia LCD(touch panel) ni $200 sikuishia hapo nikaenda stand ya mbagala kwa samsung agent mapokezi yupo dada wa kihindi na dada wa kitanzania mmoja walifungua na simu wakaangalia imei wakaona haijasajiliwa yule dada wa kihindi akaondoka na simu kwenda ghorofa ya juu alipo rudi akaniambia kioo tutakubadilishia kwa laki 1.8 .....sikuamini Chief nikakumbuka maneno yako siku 1 uliponielekeza niende pale wanatatua kwa bei nafuu...ila niliona ni dharau za wazi na watanzania sasa tunaibiwa yaani dhuluma wale wahindi hawana maana.....cha ajabu mafundi wetu wa mtaa wa kongo wanabarisha kwa elfu 60 jadi 50 haiumi sana maana kioo elfu 12 hadi 15 so nataka kuagiza na kuna mdau ameambia ataniangalizia yaani simu ya mpya ina miezi mi 4 sasa ziwezi poteza kirahisi hivi...Chief watanzania tunadharaulika na kuibiwa sana na wahindi hawafai kabisa nashukuru kwa hili jukwaa tunakutana na wadau angalau mnatutoa ushamba bila hivyo tungepasuliwa vichwa sana aisee.
 

chief nipe procedure namna ya kujisajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…