Kioo cha samsung gallaxy s4 kimepasuka

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Naombeni msaada wa taaarifa kwa anaejua garama ya KIOO cha Samsung s4 na pia naweza kukipata wapi kwa Dar.

Tafadhari wadau
 
kama unaongelea touch pannel ni kati ya tsh 250,000 hadi 350,000 samsungshops au mafundi k.koo na posta nimewaona.
 
sijui kama tutakua tunaelewana. namaanisha ile touch pannel yandani achana na hii glass ya nje. hiyo bei na fundi.

Mkuu changanua kidogo kama kioo kimepata nyufa nilizima ninunua touch panel au ndio inavyokuwa? au kioo cha s4 naweza kupata dukani bila panel?....nitoe ushamba kidogo
 
sijui kama tutakua tunaelewana. namaanisha ile touch pannel yandani achana na hii glass ya nje. hiyo bei na fundi.

Mkuu nimekupata, ila hata kama ni touch panel tu kwa bei hiyo hapana, bora niendelee kutumia sim ya kawaida tu.
 
Naombeni msaada wa taaarifa kwa anaejua garama ya KIOO cha Samsung s4 na pia naweza kukipata wapi kwa Dar.

Tafadhari wadau

Km uliponunua ulisajiri warranty online na haijamaliza miaka 2 peleka Samsung wanakuwekea bure
 
njo hapa samsung customer care
standi ya mbagala,
msimbazi street,
kariakoo
,

if mobile is in warranty with ADH ,
screen will b replaced free of cost

to check your warranty
message au
mail your IMEI number ( to get IMEI dial *#06# )

+255712078787
parag@saigroup.co.tz

regs ,
SAMSUNG PREMIUM CUSTOMER CARE
 

Daah!tatizo sikufanya usajili na boks lenyewe limepotea nimeenda hapo ofisi unazo zitaja kubadili front screen (kioo tu sio LCD nimeambiwa laki 1.8 ..laki na themanini nikachoka ni uwizi tu....heli tecno wanalipia kidogo lkn wanahudumiwa .....kuna fundi pale msimbazi aliwahi kunibadirishia touch ya blackbery bold 9900 kaniambia nimpe elfu 50 na kioo amekiagiza nafuu lkn hao wa lnaojihita ma agenti wa samsung sina hamu nao ni VIBAKA kuna kidada cha kihindi pale na mbongo mwanamke mapokezi pale sikulidhishwa kabisa na maelezo yao yasio na mchanganuo wowote ule..........bora nimpe huyo kanjanja wa msimbazi akishindwa narudi techno tu.......
 
mimi dar niliambiwa laki 380 nikachoka,, hapa nimebadiliashia kwa dolla 170 ,, kwa kawaida simu hizi zinashida ya LCD na bei yake mbaya sana
 
mimi dar niliambiwa laki 380 nikachoka,, hapa nimebadiliashia kwa dolla 170 ,, kwa kawaida simu hizi zinashida ya LCD na bei yake mbaya sana

S4 yangu LCD yake ipo safibinafanya kazi tatizi ni front glass niliopasua tu
 

front panel pamoja na vifaa vyake vya kuekea hata dola 10 havifiki.


chomoa battery then angalia imei now jisajili sasa hivi kwa simu nyengine then wafate watengeneze bure.

kinachofanya kioo kiwe ghali ni resolution hata ukihama samsung sio solution kama ni cha hd basi kitakuwa ghali
 

Chief yaani nimejisajili kwa imei za nyuma ya betri lkn zinagoma nakusema na hazitambuliki ngoja nifanya alafu nifanye screen shot uone
 
Chief yaani nimejisajili kwa imei za nyuma ya betri lkn zinagoma nakusema na hazitambuliki ngoja nifanya alafu nifanye screen shot uone

basi hujanunua tanzania au huyo ulionunua kwake hajaitoa tanzania.
zipo s4 za aina tatu ya snapdragon 600, ya snapdragon 800 na ya exynos octa. s4 ya sd600 peke ake ndo inatambulika tz
 
basi hujanunua tanzania au huyo ulionunua kwake hajaitoa tanzania.
zipo s4 za aina tatu ya snapdragon 600, ya snapdragon 800 na ya exynos octa. s4 ya sd600 peke ake ndo inatambulika tz

Kuna sister mmoja wa zambia aliniletea so sikuuliza ilitoka wapi lkn sina utaalam wa kujua kama unavyohaijisha chief kwa aina hizo naangalia wapi ili kujua aina ulizoonyesha......huko deep sana jemedali umenitoe ushamba kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…