Hisense 4k 58" inauzwa 620,000?Hisense 58" kioo : 460,000/=
Hisense 58" TV : 620,000/=
Location: Kariakoo Aggrey na Sikukuu streets
😅😅 Hisense 58 inch 620,000 what a jokeHicho kioo ni cha 4K smart? Vidaa?
Hata 43 nch haupati kwa hiyo beiHisense 4k 58" inauzwa 620,000?
Kilifanyaje mkuu?nami natafuta kioo cha hisense inch 42"
Ilikuwaje kioo kikaharibika?nami natafuta kioo cha hisense inch 42"
Nilipanga nije ninunue Hisense ya 85" ngoja niachane nayo.Hata Mimi natafuta kioo cha hisense 40".
mtu mwingine kuvunja kioo chake ndo kukufanye usinunue tv, kama hujui hata ununue Samsung ya milion 20 ukiigonga itavunjika. ukiwa na uoga wa kuvunja nunua tu projectorNilipanga nije ninunue Hisense ya 85" ngoja niachane nayo.
Akili yako iko vizuri?mtu mwingine kuvunja kioo chake ndo kukufanye usinunue tv, kama hujui hata ununue Samsung ya milion 20 ukiigonga itavunjika. ukiwa na uoga wa kuvunja nunua tu projector
Hao wenyewe hawataki kitu ambit havina ubora au wanevunja wenyewe ( uzembe)Akili yako iko vizuri?
Hapa kuna members nadhani kama 4 vioo vya tv zao za Hisense vimevunjika. Watu tunataka kufahamu kuvunjika kwake labda vioo vyake havina ubora kama vya Samsung ama tatizo ni nini.
Mkuu mimi nina kama hii inchi 40 ila haina kioo ni plastic na niliinunua 500000/=Hata Mimi natafuta kioo cha hisense 40".
kua na akili wewe, ulishaona tv inavunjika kioo yenyewe? mpaka inavunjika jua imegongwa. huwez funga tv ukutani eti itoke urud uje ukute imevunjika au uweke mezani ivunjike tu yenyewe. kama una mtoto matundu yanavunja hizo ni shida zako au ww ni mlevi ukilewa ni full vurugu halafu unasahau ulifanya nn basi acha huo ujinga. hakuna kioo cha tv inavunjika chenyewe. angalia tv zote zilizovunjika lazma utaona kiligongwa wapi. haya kama kuna mtu humu tv yake ilivunjuka kioo yenyewe anyooshe mkono.Akili yako iko vizuri?
Hapa kuna members nadhani kama 4 vioo vya tv zao za Hisense vimevunjika. Watu tunataka kufahamu kuvunjika kwake labda vioo vyake havina ubora kama vya Samsung ama tatizo ni nini.
Post in thread 'Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?' Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?
Mkuu mimi nina kama hii inchi 40 ila haina kioo ni plastic na niliinunua 500000/=
Akili kisodakua na akili wewe, ulishaona tv inavunjika kioo yenyewe? mpaka inavunjika jua imegongwa. huwez funga tv ukutani eti itoke urud uje ukute imevunjika au uweke mezani ivunjike tu yenyewe. kama una mtoto matundu yanavunja hizo ni shida zako au ww ni mlevi ukilewa ni full vurugu halafu unasahau ulifanya nn basi acha huo ujinga. hakuna kioo cha tv inavunjika chenyewe. angalia tv zote zilizovunjika lazma utaona kiligongwa wapi. haya kama kuna mtu humu tv yake ilivunjuka kioo yenyewe anyooshe mkono.
mwisho nikusaidie utajua bado mshamba. Kw ss tv inayouzwa sana Tanzania ni hisense. na hizo Samsung na LG hazinunuliw sana.
sasa chukulia kwa mwez huu hisense zmeuzwa PC 100000, Samsung PC 10000, lg PC 30000. unafikiri matatizo mengi atapata wateja wa kampuni ipi? automatic itakua hisense. ila hata hao Samsung au makampuni mengine yakiuza tv nyingi kushinda wengine nao watakua na matatizo mengi vile vile. sikupi elimu tena. mlevi ww.