Karibu Laigwanani,Wewe ni Laigwanani wa pande ipi Longido,Monduli,Ngorongoro au imetorokea pande ya Pwani na tanga kutafuta malisho ya Ng'ombe.
karibu tena hapa hakuna maziwa na nyama iko maneno mingi,hangalia isjekuwa umetumwa na ile Laigwanani kubwa ya E.Africa tapata taabu sana ati hapa watu hawamkubali kama kule kweke Monduli juu.