Kiongozi Palestina amtiisha Trump akikata misaada zaidi kwa Wapalestina watajiunga na ISIS

Duuh!
Kumbe haya majamaa ni mashenzi kwel kweli. Yaan misaada inayotolewa kumbe inatumika kwenda kiwafadhili magaidi. Na kulipa mishahara kwa wafungwa wa makosa ya kigaidi. Yaan mfungwa wa kosa la ugaidi bado analipwa mshahara?
C bora wafute kabisa siyo kukata tu
 
Usibishe makundii ya kigaidi ni ya mmarekan km hujui kuna Americans pia ndan yake we hujiuliz kundi ghafla limezuka lina hadi vifaruu wametoa wapi jiongeze ww
Hizo nchi zenye ugaidi hazina vifaru? Wale wanavamia kambi za jeshi na kupora hivyo vifaa km ilivyokuwa Iraq!
 
Back
Top Bottom