Mkuu pole sana
kwanza uelewe kuwa hakuna mtanzania mwenye moyo wa ubinadamu anaefurahia kifo cha mwenzie bila kujali chama,dini,au kabila ya huyo alokufa kwa sababu tunaamini binadamu wote ni ndugu.
Siungi mkono hoja yako inayoashiria kisasi au jino kwa jino, kwa sababu moja kuu..hupaswi kutumia njia ile ile anayotumia adui! unapaswa kwenda zaidi kuweza kumshinda tena ushindi wa kudumu..
Tafakari!!!