Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia

Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
141203014824_rear_admiral_john_kirby_512x288_ap.jpg


Wizara ya ulinzi ya Marekani Pentagon imesema kuwa imethibitisha kuwa shambulio la ndege la wiki iliyopita nchini Somalia dhidi ya magaidi wa Al Shabab lilimuua kiongozi mwandamizi wa wapiganaji hao.

Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani Admiral John Kirby amemtaja aliyeuawa ni Yusuf Dheeq aambaye alikuwa mkuu wa idara ya upelelezi ndani ya kundi hilo.

Kirby pia amesema hakuna raia yeyote aliyejeruhiwa ama kuuawa katika shambulio hiolo la anga lililofanywa na Marekani dhidi ya Al shabaab kusini mwa mji mkuu wa Somalia Mogadishu.


Source: BBC
 
Naomba Al-shabab waje kututembelea Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu... Ili serikali iwe bize kuwadhibiti na sio bize kuwapiga mabomu wenye nchi watakaokuwa wanadai matokeo halali ya uchaguzi..
 
Nothing like a good bomb dropping on scum to start off a Friday! Next time use napalm! Give em a little Fire and Brimstone the American way!
Nonda you are welcome here
 
Last edited by a moderator:
Naomba Al-shabab waje kututembelea Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu... Ili serikali iwe bize kuwadhibiti na sio bize kuwapiga mabomu wenye nchi watakaokuwa wanadai matokeo halali ya uchaguzi..
Do you spend any time in reality?
 
Hivi Al qaeda imeishia wapi? Hehehe wanajua kucheza na akilo za watu hawa.
 
hivi al qaeda imeishia wapi? Hehehe wanajua kucheza na akilo za watu hawa.

wanayaanzisha wenyewe na kuyaua wenyewe huku wakichuma utajiri wautakao na kuacha maelfu kwa mamillion wakifa na kumwagwa damu zao

ila mungu yupo anayaona haya
 
Hivi Al qaeda imeishia wapi? Hehehe wanajua kucheza na akilo za watu hawa.

Mzee tafuta tafuta utagundua tu al-qaida wapo wapi,kwa dondoo tu ndo hao hao ISIS wamebadilika rangi kama kirusi vile..
 
Back
Top Bottom