Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,372 Reaction score 7,812 Mar 18, 2026 #1 Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi? Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo 100 others gallow bird mdogoee zitto junior Attachments IMG_20260318_191759_740.jpg 335.9 KB · Views: 22
Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi? Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo 100 others gallow bird mdogoee zitto junior
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,042 Reaction score 195,820 Mar 18, 2026 #2 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,670 Reaction score 5,471 Mar 18, 2026 #3 tusubiri KOBAZ watupatie updates
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,514 Reaction score 134,313 Mar 18, 2026 #4 Atakuwa bado anajitahidi kukwepa mabikra 72 na mito ya k-vant. Labda asiwe na simu wala kifaa chochote cha mawasiliano. Ukishakubali kukalia kiti kama chake tayari umeyakanyaga, ni suala la muda tu
Atakuwa bado anajitahidi kukwepa mabikra 72 na mito ya k-vant. Labda asiwe na simu wala kifaa chochote cha mawasiliano. Ukishakubali kukalia kiti kama chake tayari umeyakanyaga, ni suala la muda tu
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,965 Reaction score 6,359 Mar 19, 2026 #5 Inasemekana yuko Russia anatibiwa baada ya mtoa roho kumkosa kosa kidogo kumuwahisha kwa mabikira
A Adiosamigo JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 11,246 Reaction score 15,067 Mar 19, 2026 #6 View: https://youtube.com/shorts/sWG3CUwxsCQ?si=PP6qmUjLj0ms-UOV