Kiongozi bora na bora kiongozi utatambu katika haya machache.

Dornatero

Member
Feb 26, 2012
15
8
KIONGOZI BORA
1. Msimamizi na mtetezi wa maslahi ya UMMA anaouongoza.
2. Msimamo wa kutetea,kutekeleza na kufanikisha wajibu alioajiriwa kwa huo.
3. Hashinikizi mambo yote mema ayaone kwa macho yake au kuyafaidi katika uhai wake.
4. Hasadiki katika uongozi na utawala wa kurithi au kukasimishwa.
5. Fikra zake kwa mema na mabaya ni kwa jumuia nzima aiongozayo.
BORA KIONGOZI
1. Mbinafsi na mchochezi inapotokea masuala yenye maslahi.
2. Goigoi katika maamuzi ,maagizo na hata wajibu wake binafsi.
3. Hupenda mambo yoooote mema ayafaidi akiwa bado madarakan(ofisini) au katika uhai wake.
4. Ordinary resolution huamua kwa niaba ya UMMA.
5. Jicho lake huitazama familia badala ya umma.
'' JIHUNGUZE UKO WAPII? kumbuka hata MUSA hakuigusa kaanan ''
 
Back
Top Bottom