Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,042
- 16,872
Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi mambo mazuri.
Lakini hebu kwenye Uzi huu nimzungumzie Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI (tawala za mikoa na serikali za mitaa) huyu Mh kiukweli apewe maua yake.si kuwapenda tu wanarufiji bali ni kuwadekeza.
Yaani anachokifany Mchengerwa ni kwamba siku akiamua kuachana na siasa ama kupumzika atawaacha kwenye hali ngumu Wana Rufiji kwani hili Jimbo kalifanya kama kituo cha watoto yatima.
Nitaeleza machache niliyoyaona Jana
Wakati nikizunguka kuanzia Ikwiriri kwenda Mloka na maeneo mengine,ya muhimu ni haya hapa chini.....
1.Madaraja na makalvati kwaajili ya sehemu korofi, apewe maua yake.
2.Uwepo wa lami kuzunguka mitaa ,haswa kata ya Umwe.jamani Ikwiriri ya miaka mitano Tu iliyopita siyo ikwiriri ya Leo, Mchengerwa ana dhamira ya kuifanya Ikwiriri Moscow ndogo.yaani mjini fulani uliopangika na wenye kuvutia.
3.Uwepo wa Benki,
Jamani katika Zama za leo ni Nani haujui umuhimu wa Benki katika masuala mazima ya utunzaji wa pesa ,na kufanya miamala mikubwa.
Wakulima wooooote wa Ufuta na Korosho ambao walikuwa wanahangaika mpaka waende kibiti kupata pesa zao saizi ni mwendo wa kubonyeza tu,yaani kabla hujamaliza kupiga mswaki . tayari mtu keshafika benki na kuwithdraw pesa zake.
4.pia ni uwepo wa vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo waliokopeshwa mikopo yenye riba nafuu ikiwa ni kuwawezesha kujikwamua na kupiga hatua kiuchumi.
Huyu mtu apewe maua yake.
5.Uwepo wa Radio Yao wenyewe,
Yaani matangazo yoooote yahusuyo Jimbo la Rufiji wananchi wanayapata live bila chenga.ikiwa ni Jambo linalorahisisha upatikanaji wa bidhaa na taarifa mbalimbali.
6.Uboreshaji wa kituo cha afya ikwiriri na upatikanaji wa vifaa tiba pamoja na waganga wa kutosha.hili limenifurahisha mno.
7.Lakini pia uwezo wa mwananchi mmoja mmoja, Wanarufiji wa leo siyo wa miaka ile,wanajenga nyumba nzuri,wanamiliki usafiri ,lakini hawana njaa kwani nyuso zao na tabasamu vinaonesha ni jinsi gani wanaenjoy maisha.
8.Kubwa zaidi ni uwepo wa Amani
Nyie yaani lewa mpaka saa nane usiku ,utarudi nyumbani kwako bila bughdha ,maaskari wanafanya kazi Yao Kwa uaminifu kuhakikisha Rufiji inakuwa ni mfano wa kuigwa.
9.Maji je? Umeambiwa Rufiji ina uhaba wa Maji? Umedanganya. Maji yapo kila baada ya hatua tano kuna sehemu kuna maji.
Yaani Mchengerwa kaleta chemchemu huku siyo tu maji.
Projects ambazo hazijaisha lakini zipo mbioni kuisha.
Ni Uwepo wa hotel ya five stars ambayo ni kama imebakiza asilimia 10 tu ikamilike.
Lakini uwepo wa Stend kubwa ya mabasi ambayo itarahisisha usafiri kwenda popote pale
Ipo miradi mingi Jimboni ambayo nimejionea Kwa macho yangu , siwezi kuandika nikamaliza.
Ni Nani kama Mohammed Mchengerwa?
Mbunge gani atayaweza haya?
Wanarufiji wenyewe wanakiri hakuna kama Mchengerwa wewe ni nani ubishe?
Siyo mitano tena Kwa Mbunge Bali ni yeye mpaka atakapoamua kupumzika
Hongera Wanarufiji,.
Hongera Mchengerwa,
Hongera Mama na Rais wangu SSH,
Hongera CCM?
Hongera Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Karibu Jimbo la Rufiji.