Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP

Ufafanuzi Mfupi
Kiolesura Fungasha cha Windows XP Professional na Windows XP Home Edition kinatoa utumiaji wa ukuruba kiole fungasha kwa masoko ya lugha yanayoanza ama yale madogo. Muhtasari
Kiolesura Fungasha Kiswahili cha familia ya Windows XP kinatoa Kiolesura Kiswahili cha Mtumiaji kwa watumiaji wengi wa Kiolesura cha Windows XP. Kiolesura Fungusha Kiswahili kitahitaji uhakikisha wa Microsoft Windows wakati wa kusanidiwa. Uhakikishi unakuhakikishia kuwa kuwa unatumia nakili ya Windows halali iliyopewa kibali. Tafadhali soma maelezo halali kuhusu programu za ngamizi kutoka Microsoft ili kujifunza zaidi kuhusu faida ya kutumia maelezo halali ya programu za ngamizi za Windows.

Juu ya ukurasa
Mahitaji ya Mfumo

* Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa: Windows XP

• Mfumo wa Uendeleshaji uliotegemezwa: 32-bit Toleo la Kiingereza la Windows XP with Service Pack 2 (SP2)
• 5 MB nafasi wazi (kwa kupakuliwa)
• 15 Mb nafasi wazi (kwa usanidi)

Juu ya ukurasa
Maagizo
Upakuaji huu unapatikana kwa kudabiri Windows halisi ya Microsoft. Bonyeza kitufe cha Endelea katika sehemu ya Uhakikishaji Unahitajika ilio juu ili uanzee njia fupi njia ya kuhakikisha. Mara tu inapohakikishwa, utarudishwa kwa ukurasa huu na maagizo maalum ya kupata upakuaji. Zaidi Bonyeza hapa http://www.microsoft.com/downloads/...f9-79c4-4625-a07a-0cc1b341be7c&displaylang=sw
 
...ha ha ha haaa Windows gone Lingala!!

...The anticipated launch of: Windows Lingala 2010!®

...##Everybody dance now.... doooonnhh, ----- dooonhh, doooonhh, doooonhh##!!!
 
Hapa ndipo Kiswahili kinakuwa kugumu kuliko Kiingereza (kwa mzungumzaji wa kiswahili) - Na hawa conmen (waliotafsiri) wanaiharibia tu biashara Microsoft.
 
Hapa ndipo Kiswahili kinakuwa kugumu kuliko Kiingereza (kwa mzungumzaji wa kiswahili) - Na hawa conmen (waliotafsiri) wanaiharibia tu biashara Microsoft.
Duh! kaka hivi ulipo kuwa shule ulisoma somo la kiswahili kweli wewe? au nyie ndio mlikimbilia Kiingereza?
 
Ufafanuzi Mfupi
Kipeto hiki cha Kiolesura cha Kiswahili cha Microsoft Office 2003 kinatoa Kiolesura cha Mtumiaji kwa programu nyingi za Microsoft Office 2003.

Muhtasari
Kipeto hiki cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003 kinatoa tafsiri ya Kiolesura cha Mtumiaji kwa programu zifuatazo za Office 2003:

* Microsoft Office Word 2003

* Microsoft Office Outlook® 2003

* Microsoft Office PowerPoint® 2003

* Microsoft Office Excel 2003

Juu ya ukurasa
Mahitaji ya Mfumo

* Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa: Windows XP Service Pack 2

* Programu inayohitajika: Toleo la Kiingereza (Marekani) la nui yoyote ya Office 2003 – kwa mfano Nui ya Kitaaluma ya Microsoft Office 2003 au Nui ya Kawaida ya Microsoft Office 2003 — au Toleo la Kiingereza (Marekani) la programu binafsi ya Office 2003 inayoauni Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili — Excel 2003, Outlook 2003, PowerPoint 2003, au Word 2003.

Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili inaweza pia kusanidiwa kwa Microsoft Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Mtumiaji wa Lugha Nyingi kwa auni ya Kiingereza (Marekani).


Ofisi 2003 HB2 inapatikana sasa na inaweza kupakuliwa kutoka hapa http://www.microsoft.com/downloads/...e8-8193-4c32-9019-9980ecd6874a&displaylang=sw

* Mahitaji ya Nafasi ya Diski: Mbali ya nafasi kwenye diski kuu inayotumiwa na programu za Office 2003 zilizosanidiwa kwa sasa, megabaiti (MB) 10 za nafasi ya diski kuu zinahitajika.

Juu ya ukurasa
Maagizo
Kusanidi Pakua hii:

1. Pakua jalada la LIP.exe kwa kubofya kitufe Pakua (juu) na kuakibisha jalada kwenye diski kuu yako.
2. Bofya maradufu jalada programu LIP.exe Kwenye diski kuu yako kuanzisha programu Muundo.
3. Fuata maelekezo kwenye kiwamba kukamilisha usanidi.


Maelekezo kwa utumizi:

Kufungua Kiolesura cha Mtumiaji kwenye lugha ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003, fuata hatua hizi zifuatazo:

1. Kwenye menyu ya Anza Elekeza kielekezi kwenye Programu Zote, kisha elekeza kwenye Microsoft Office, elekeza kwenye Zana za Microsoft Office, na kisha bofya Mipangizo ya Lugha ya Microsoft Office 2003.
2. Kwenye kichupo cha Kiolesura cha Mtumiaji na Saidia katika Angazisha Office 2003 katika orodha, teua lugha unayotaka kuangazisha.
3. Bofya Sawa.


Mipangizo ya lugha unayoteua itafanya kazi mara nyingine utakapoanzisha programu za Office.


Kuondoa Pakua hii:

1. Toka kwenye programu zote.
2. Kwenye menyu ya Anza elekeza kielekezi kwenye Mipangizo kisha Paneli Dhibiti.
3. Bofya maradufu Ongeza/Ondoka Programu.
4. Katika orodha ya programu zilizosanidiwa hadi sas, bofya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili ya Microsoft Office 2003, kisha bofya Ondoa or Ongeza/Ondoa. Kama kisanduku ongezi kinatokea, fuata maelekezo ya kuondoa programu.
5. Bofya Ndiyo au Sawa Kuthibitisha kuwa unataka kuondoa programu

Juu ya ukurasa
Majalada kwenye Upakuaji Huu
Viungo katika sehemu hii hulingana na majalada ya kando yanayopatikana katika upakuaji huu. Pakua majalada yanayokufaa.

Ukitaka Kutumia Bonyeza hapa Maelezo ya upakuaji: Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003
 
Back
Top Bottom