nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 859
Habari,
Kinyozi wa kike anahitajika kunyoa ktk salon ya kiume Sumbawanga mjini.
Kinyozi wa kike anahitajika kunyoa ktk salon ya kiume Sumbawanga mjini.
Mmh Sumbawanga!!! Kuna mdada mmoja ni kinyozi mzuri yupo Dar. Ila anataka uwe unaleta watu huku Dar anawanyoa kisha wanarudi Sumbawanga.