Kinyozi mzuri anatafutwa

Kinyozi mzuri anatafutwa

Heller

New Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
4
Reaction score
8
Barbershop ya kisasa ipo Kimara Temboni,
Kinyozi mwenye sifa zifuatavyo anahitajika:
1.Awe na uzoefu wa kunyoa mitindo mbalimbali
2.Awe msafi/mtanashati.
3.Awe na kauli nzuri kwa wateja.

Malipo ni makubaliano.(tuwasiliane kwa namba 0654990001)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom