kinyozi alihamisha ofisi kutoka ghorofani na kuja chini
akaweka tangazo;
kinyozi aliekua ananyoa juu sasa ananyoa chini,
mara wateja wakamkimbia, sasa kosa lake nini?
kuondoka ghorofani ndo kumemkimbizia wateja, kwani wateja wake wengi ni choka mbaya hivyo wanaenda kwake ili angalau wapande ghorofa, so alipohamia chini wakaona bora tu waende kunyoa chini ya mwembe coz ni cheap zaidi