UMBEEE Member Joined Mar 5, 2014 Posts 41 Reaction score 22 Jun 24, 2014 #1 Namtafuta kinyozi mahali ni Babati mjini kwa wale wakazi wa Babati fursa hiyo ani pm then tutaelewana.
Namtafuta kinyozi mahali ni Babati mjini kwa wale wakazi wa Babati fursa hiyo ani pm then tutaelewana.
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jun 24, 2014 #2 Kinyozi wa nini embu funguka wewe!!
UMBEEE Member Joined Mar 5, 2014 Posts 41 Reaction score 22 Jun 24, 2014 Thread starter #3 mgonjwa said: Kinyozi wa nini embu funguka wewe!! Click to expand... mtu anayefanya kazi saloon kwa ajili ya kunyoa nywele kichwani
mgonjwa said: Kinyozi wa nini embu funguka wewe!! Click to expand... mtu anayefanya kazi saloon kwa ajili ya kunyoa nywele kichwani
Aqua JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 1,657 Reaction score 1,237 Jun 25, 2014 #4 UMBEEE said: mtu anayefanya kazi saloon kwa ajili ya kunyoa nywele kichwani Click to expand... Saloon si sawa na salon,double "o" na single"o".Wewe yako ni Salon siyo Saloon
UMBEEE said: mtu anayefanya kazi saloon kwa ajili ya kunyoa nywele kichwani Click to expand... Saloon si sawa na salon,double "o" na single"o".Wewe yako ni Salon siyo Saloon