Jibu Tunalo Mimi na Wewe, Tuchukue Hatua Muafaka hapo October'205, Vinginevyo Itakuwa kila siku Tunaleta Vikatoon vya Kutuhuzunisha kama Hichi. Tunaambiwa Uchumi Umekuwa kwa 7.5% lakini watu Wamekondeana Kimaisha Kama Wanakula Misumali.
Catoon hii Inareflect khali halisi ya Maisha Ya Wabongo.