Kinu kidogo cha nishati ya nyuklia

Kinu kidogo cha nishati ya nyuklia

DellaPina

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
1,019
Reaction score
3,520
Habari zenu wadau wa forum,

Nahitaji kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata ruhusa maalum kutengeneza kinu kidogo cha nyuklia nyumbani kwa matumizi ya nishati ya umeme, malengo yangu yalikuwa hayo nilitaka nijue ruhusa hiyo inapatikana wapi au kibali.

Kwa sababu karibu vifaa vyote vya kawaida vinavyohitajika ninavyo isipokuwa vile ambavyo kuvipata kwake lazima uagize kwa njia ya mtandaoni kutoka nchi za nje tu navyo pia uhakika wa kuvipata ninao na nishafanya mawasiliano na wauzaji. Na nafasi nishaitenga home kuna kabustani kadogo ndiyo kazi nataka niifanye hapo.

Wazee nimewapa taarifa nitakapoanza harakati zangu wasitumie tena vitu vya bustani kama mbogamboga kwa usalama wa afya zao na natarajia nizing'oe zote hata kabla sijaanza kurutubisha maji mepesi madhara yasijekuwa makubwa.
 
Huwezi kupewa hiki kibari kabisa never ever

Unanishauri nijifanyie tu kwa siri au vipi? Pia kwa mazingira pia ni ngumu watu kujua kinachoendelea labda tu hawa watu wa umeme
 
Kwanza ni hatari si kwako tu ni hatari wa jamii inayokuzunguka. Sijawahi hata kusikia huko kwa wenzetu kama kuna mtu tu private anatumia nuclear reactor kuzalisha umeme
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan utadhani unataka kuwema tanulu la mkaa
 
Hapana najua ni hatari kubwa sana,hasa mambo ya radioactive pia kuna contamination.
 
Habari zenu wadau wa forum,

Nahitaji kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata ruhusa maalum kutengeneza kinu kidogo cha nyuklia nyumbani kwa matumizi ya nishati ya umeme, malengo yangu yalikuwa hayo nilitaka nijue ruhusa hiyo inapatikana wapi au kibali.

Kwa sababu karibu vifaa vyote vya kawaida vinavyohitajika ninavyo isipokuwa vile ambavyo kuvipata kwake lazima uagize kwa njia ya mtandaoni kutoka nchi za nje tu navyo pia uhakika wa kuvipata ninao na nishafanya mawasiliano na wauzaji. Na nafasi nishaitenga home kuna kabustani kadogo ndiyo kazi nataka niifanye hapo.

Wazee nimewapa taarifa nitakapoanza harakati zangu wasitumie tena vitu vya bustani kama mbogamboga kwa usalama wa afya zao na natarajia nizing'oe zote hata kabla sijaanza kurutubisha maji mepesi madhara yasijekuwa makubwa.

chai

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kibali kinatolewa tume ya mionzi na kwenye kuagiza mizigo bandarini itakupasa kuonyesha kibali cha kuruhusiwa kuingiza hio mizigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau wa forum,

Nahitaji kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata ruhusa maalum kutengeneza kinu kidogo cha nyuklia nyumbani kwa matumizi ya nishati ya umeme, malengo yangu yalikuwa hayo nilitaka nijue ruhusa hiyo inapatikana wapi au kibali.

Kwa sababu karibu vifaa vyote vya kawaida vinavyohitajika ninavyo isipokuwa vile ambavyo kuvipata kwake lazima uagize kwa njia ya mtandaoni kutoka nchi za nje tu navyo pia uhakika wa kuvipata ninao na nishafanya mawasiliano na wauzaji. Na nafasi nishaitenga home kuna kabustani kadogo ndiyo kazi nataka niifanye hapo.

Wazee nimewapa taarifa nitakapoanza harakati zangu wasitumie tena vitu vya bustani kama mbogamboga kwa usalama wa afya zao na natarajia nizing'oe zote hata kabla sijaanza kurutubisha maji mepesi madhara yasijekuwa makubwa.
Mkuu si unaona Iran inavyohangaika kwa vikwazo mpaka mask wanakosa,tafadhari usituletee balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom