ha ah ah ha a ah HOYA (NYAU), Sharif Mzee wa mitusi, Kuna yule mwalimu alikuwa na jicho bovu anaitwa nani nimemsahau kidogo, nasikia baba Jariwala alifariki, Getini alikuwepo Mogella

Yule alikuwa mwalimu wa English sijui Ngoya? Unamkumbuka mwalimu Shombe? Yeye alikuwa na magari mabovu ya mkaa. Akitoka kutengeneza magari yake na magrisi anaingia darasani akijifutia magrisi yake kwenye overall na kuanza kufundisha kiswahili. Unakumbuka tulivyokuwa tuna wafanyizia Azaania na Tambaza kwenye mechi za mpira.
ha ah ah ha a ah HOYA (NYAU), Sharif Mzee wa mitusi, Kuna yule mwalimu alikuwa na jicho bovu anaitwa nani nimemsahau kidogo, nasikia baba Jariwala alifariki, Getini alikuwepo Mogella
Vipi akina Shambula, Nkwazi, Jongo, Abdallah, Maringo na Mamiro? Nawakumbuka sana hawa nguli. Hakuna nisiyempenda kama Mruma aliyekuja kuwa mkuu wa shule baada ya mzee Jariwalla.