Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,227
huyu jamaa ana masters lakini ndani ya ccm kuna maprofesa kibao na PHd holders wa kunwaga.....akishaingia tu ...Lazima ajali maslahi ya chma kwanza, then yeye halafu marafiki baadaye kitakacho baki ni kwa Wadaganyika wote. Tatizo la ccm si kukosa watu ni mfumo mbovu. Ukishajiunga na wachawi huwezi kuwabadilisha bali utafanya kama wao tu.......dawa ni kuondoa mfumo huu kandamizi tulionao na kuleta mfumo unaojali maslahi wa Watanzania wote
Duh, nilisoma na huyu jamaa zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Then he fell off the radar, had no idea where he was and if he was alive, for that matter.
Kuna mtu kwenye post zilizopita hapo puu kasema jamaa kanyoa upara aonekane kijana, huyu Mpoki ni kijana, umri wake ni kati a miaka 32-34 hivi.
Kuna na mtu mwingine tulisoma nae alikuwa anaitwa Mplingondo Kingunge Ngombale Mwiru, naye sijui ameishia wapi.
Kumbe ndio huyu, nilipata taarifa eti kuna mgombea anatembea na vyeti. damn, ana fikra mgando, hana jipya nani ni limbukeni wa kuwatambua watu kwa hadhi ya vyeti na mavazi? Rudi Mirikani kawaambie wenzako mrudi kujifunza maisha ya bongo na mahitaji yetu. kwa taarifa yako mabadiliko tunayoyataka sio maendeleo, tunachotaka n dhamira ya dhati kubadili mfumo uliopo. Wengi mliorudi ni kwa sababu ya mshahara mkubwa wa mbunge, kama siyo hivy msingekuja. Tunataka wabunge watakaothubutu kupunguza fursa za kuiba rasilimali za nchi. Usiposema hilo wewe ni mmoja wa wezi. Jifunze kwa Wilbroad Slaa
MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye jf, the reason behind is the forum became sold out.however, leo nimeamua kuandika kwa nini kinondoni wamchague mpoki mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana cv ambayo imesimama. B.a economics, mba then m.phil in economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward tanzania economic development are based on facts and not fiction like many tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and mpoki knows development inside out.
Last, he is a common joe...... He is a national treasure.
Mkuu Bongolander, Mpoki alisoma Ilboru O-Level sio A-level. Nadhani aliesema amesoma A-level amepitiwa tu katika shamrashamra za kumjazia sifa.Mkuu unahakika huyu jamaa alisoma Iboru A-level. NImekuwa nafuatilia kujua kama kweli yeye ni kihiyo au si kihiyo. Nilichoona ni kuwa huyu jamaa hakusoma A-level Ilboru. kama hicho cheti amewasilisha kitakuwa ni cha kugushi kama walivyofanya wengine. Nimesikia kuwa huyu jamaa amesoma A Level St Anthony's secondary. So inawezekana yeye ni kihiyo, au mtanganyika umetupotosha.
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.
.............. but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man. .
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
jamani lets support kijana mwenzetu! ana potentials kubwa za kuleta mabadiliko na tuache roho za kwanini! you have my vote MpokiMpaka sasa kaitumiaje midigrii yake kuji distinguish in practice? In other words, kafanya nini cha maana cha kumpa heshima ya uwakilishi wa wananchi ?
jamani lets support kijana mwenzetu! ana potentials kubwa za kuleta mabadiliko na tuache roho za kwanini! you have my vote Mpoki
MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
Tatizo kaenda CCM ,
CCM watu wenye nia nzuri hutengwa na kuonekana wasiliti so watu hushindwa kupambana.
So he is in the wrong track kwa maendeleo.
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
Yeah nimeongea hata kama yuko fit still itakuwa mbaya.Unaongea kama vile jamaa ana sifa, ndipo hapo ninapoomba kujua sifa zake.
Isije kuwa mambo ya Kikwete, eti sifa za urais mtu mpole, mtu wa watu.
Jamani, mliotuletea mgombea kwa mbwembwe, tupeni sifa zake basi, ana sifa gani zaidi ya mi degree, kuwa mtoto wa balozi na kuwa kijana ? (as if those are actual qualifications!)