Nje ya Ugumu wa Maisha aliyonayo kama Mimi GENTAMYCINE, ila anapenda sana kama si mno kupiga Mpepe / Puje / Kijiti / Udi Karaha / Sigara Bwege / Pombe yenye Moshi Sifa ambayo 99% ya Majirani zake huko Mbagala wanaijua.
Ila huyu hapa chini aliyejitutumua Kuandika lugha ya Kiingereza ambayo anajua fika kuwa haijui na kaitumia hadi Kukichapia Yeye siyo Mental kama Mental?
Lazima awe hivyo, kwa sababu hapo yupo na watu wakubwa na hayupo kwenye maigizo. Huyu mtu kule kumuona tu huwa kunanitosha kabisa hata kabla hajaongea neno