Kingwangala: The boss is always right

Kingwangala: The boss is always right

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,444
Haya ni maneno ya waziri wa maliasili na utalii, akimtakia heri na fanaka naibu waziri wa kilimo, "Hussein bashe"

‪Pacha Mhe. @bashehussein, kwanza, kwa mara nyingine tena, nakupongeza kwa uteuzi na kwa imani aliyokupa Mhe. Rais, na pili, nakupa pole kabisa kabisa kwa kazi iliyo mbele yako. Mungu amesikia kilio cha wazee wetu wengi wa Nzega, ambao wengi wao waliishatangulia mbele ya haki. Wazee wa Nzega waliomba sana kupata Waziri toka tupate uhuru, haikutokea mpaka nilipoteuliwa mimi na Mhe. Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri wa Afya. Leo na wewe umeingia- wazee wa Nzega wamepata majibu ya dua na maombi yao ‘double!’. Sina shaka na uchungu ulio nao dhidi ya umaskini. Napajua unapotoka. Muhimu; jua wazi kuwa Rais @MagufuliJP ana uchungu na wanyonge na hana utani kwenye hili. Nenda kapige kazi kwa bidii! ‬Usizembee. Weka ubunifu. Weka muda wako wote kwenye kazi yako. Kuwa mnyenyekevu kwa wadau wako na kwa watu wote, maana sasa utapimwa kwa vitu vingi na jamii siyo kujenga hoja nzito nzito pekee tu bungeni . Usithubutu kushindana ama kupingana na mkubwa awaye yote. Mara zote kumbuka zile kanuni 3 muhimu za mafanikio mahala pa kazi: kanuni ya kwanza ni ‘the boss is always right!’, ya pili ni ‘the boss is always right!’ na ya tatu ni ‘the boss is always right!’ Be humble, hautopotea. All the best bruv. #HK #MzeeWaField #NjeYaBox
 
.
Screenshot_20190722-214741.jpeg
 
Manafiki ni manafiki tu!

Sijui kwanini sijawahi muamini Kigwangalla kwa chochote!

Thats just me!
 
Jamaa anadhani siasa ni Cooperate entity. ... kwamba the boss is always right and you have the job.. no problem. ...

Asilojua kwenye siasa kupotea ni very very simple..... and it's gone....
Weka akiba ya maneno kiongozi
 
Haya ni maneno ya waziri wa maliasili na utalii, akimtakia heri na fanaka naibu waziri wa kilimo, "Hussein bashe"

‪Pacha Mhe. @bashehussein, kwanza, kwa mara nyingine tena, nakupongeza kwa uteuzi na kwa imani aliyokupa Mhe. Rais, na pili, nakupa pole kabisa kabisa kwa kazi iliyo mbele yako. Mungu amesikia kilio cha wazee wetu wengi wa Nzega, ambao wengi wao waliishatangulia mbele ya haki. Wazee wa Nzega waliomba sana kupata Waziri toka tupate uhuru, haikutokea mpaka nilipoteuliwa mimi na Mhe. Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri wa Afya. Leo na wewe umeingia- wazee wa Nzega wamepata majibu ya dua na maombi yao ‘double!’. Sina shaka na uchungu ulio nao dhidi ya umaskini. Napajua unapotoka. Muhimu; jua wazi kuwa Rais @MagufuliJP ana uchungu na wanyonge na hana utani kwenye hili. Nenda kapige kazi kwa bidii! ‬Usizembee. Weka ubunifu. Weka muda wako wote kwenye kazi yako. Kuwa mnyenyekevu kwa wadau wako na kwa watu wote, maana sasa utapimwa kwa vitu vingi na jamii siyo kujenga hoja nzito nzito pekee tu bungeni . Usithubutu kushindana ama kupingana na mkubwa awaye yote. Mara zote kumbuka zile kanuni 3 muhimu za mafanikio mahala pa kazi: kanuni ya kwanza ni ‘the boss is always right!’, ya pili ni ‘the boss is always right!’ na ya tatu ni ‘the boss is always right!’ Be humble, hautopotea. All the best bruv. #HK #MzeeWaField #NjeYaBox

Anamfundisha mwenzake nidhamu za woga!
 
‘Mtumikie ..... upate mradi wako...’

Kumbe kina Kigwa tupo wengi

Enzi hizo Kigwa yupo kwa Hilary Clinton wa awamu ya nne , kila kitu ‘Ndio Mama yangu ‘

‘.... ndio Boss ‘ inalipa sana

Kigwa alipata Ubunge akiwa wa Tatu Nyuma ya Bashe na Lucas Selelii 2010
 
Haya ni maneno ya waziri wa maliasili na utalii, akimtakia heri na fanaka naibu waziri wa kilimo, "Hussein bashe"

‪Pacha Mhe. @bashehussein, kwanza, kwa mara nyingine tena, nakupongeza kwa uteuzi na kwa imani aliyokupa Mhe. Rais, na pili, nakupa pole kabisa kabisa kwa kazi iliyo mbele yako. Mungu amesikia kilio cha wazee wetu wengi wa Nzega, ambao wengi wao waliishatangulia mbele ya haki. Wazee wa Nzega waliomba sana kupata Waziri toka tupate uhuru, haikutokea mpaka nilipoteuliwa mimi na Mhe. Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri wa Afya. Leo na wewe umeingia- wazee wa Nzega wamepata majibu ya dua na maombi yao ‘double!’. Sina shaka na uchungu ulio nao dhidi ya umaskini. Napajua unapotoka. Muhimu; jua wazi kuwa Rais @MagufuliJP ana uchungu na wanyonge na hana utani kwenye hili. Nenda kapige kazi kwa bidii! ‬Usizembee. Weka ubunifu. Weka muda wako wote kwenye kazi yako. Kuwa mnyenyekevu kwa wadau wako na kwa watu wote, maana sasa utapimwa kwa vitu vingi na jamii siyo kujenga hoja nzito nzito pekee tu bungeni . Usithubutu kushindana ama kupingana na mkubwa awaye yote. Mara zote kumbuka zile kanuni 3 muhimu za mafanikio mahala pa kazi: kanuni ya kwanza ni ‘the boss is always right!’, ya pili ni ‘the boss is always right!’ na ya tatu ni ‘the boss is always right!’ Be humble, hautopotea. All the best bruv. #HK #MzeeWaField #NjeYaBox
hayo ndiyo yanaifanya nchi hii isiendelee
 
Kigwangala..umekula Maharage ya wapi?
Unatukosea heshima sana kwa maneno yako dhaifu. udhaifu na unafiki wako utakupotezea uongozi
 
Haya ni maneno ya waziri wa maliasili na utalii, akimtakia heri na fanaka naibu waziri wa kilimo, "Hussein bashe"

‪Pacha Mhe. @bashehussein, kwanza, kwa mara nyingine tena, nakupongeza kwa uteuzi na kwa imani aliyokupa Mhe. Rais, na pili, nakupa pole kabisa kabisa kwa kazi iliyo mbele yako. Mungu amesikia kilio cha wazee wetu wengi wa Nzega, ambao wengi wao waliishatangulia mbele ya haki. Wazee wa Nzega waliomba sana kupata Waziri toka tupate uhuru, haikutokea mpaka nilipoteuliwa mimi na Mhe. Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri wa Afya. Leo na wewe umeingia- wazee wa Nzega wamepata majibu ya dua na maombi yao ‘double!’. Sina shaka na uchungu ulio nao dhidi ya umaskini. Napajua unapotoka. Muhimu; jua wazi kuwa Rais @MagufuliJP ana uchungu na wanyonge na hana utani kwenye hili. Nenda kapige kazi kwa bidii! ‬Usizembee. Weka ubunifu. Weka muda wako wote kwenye kazi yako. Kuwa mnyenyekevu kwa wadau wako na kwa watu wote, maana sasa utapimwa kwa vitu vingi na jamii siyo kujenga hoja nzito nzito pekee tu bungeni . Usithubutu kushindana ama kupingana na mkubwa awaye yote. Mara zote kumbuka zile kanuni 3 muhimu za mafanikio mahala pa kazi: kanuni ya kwanza ni ‘the boss is always right!’, ya pili ni ‘the boss is always right!’ na ya tatu ni ‘the boss is always right!’ Be humble, hautopotea. All the best bruv. #HK #MzeeWaField #NjeYaBox
Ushauri huu ndio unaoharibu nchi, unaozuia mawazo mapya na sera mpya za maendeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kijeshi.
 
Tangu lini wanafiki mkaaminiana

Heri mimi mnafiki lakini sina madaraka!

Sina athari kwa wananchi kiivyo!

Imagine hili punguani lako lina madaraka halafu nafiki namna hii athari kwa wananchi ni kubwa kiasi gani?

Ni unspeakable!
 
Back
Top Bottom