Kingunge

Kingunge

Ilungu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
195
Reaction score
60
Nimeangalia taarifa ya habari ITV mzee Kingunge anatoa ya moyoni. Kama kweli huyu mzee anaongea kama mwana ccm, basi hakuna tofauti kati ya CCM na UKAWA kwa sasa
 
Anachokitafuta anakijua lakini? maana umaarufu anao toka zamani sasa ajiangalie.........
 
Cha msingi Lowasa aingie cdm amkomoe kikwete na maccm wengine
 
Aah wapi akina Bilal,pinda wassira sio watu?
Chakufanya Baba yetu Mzee Kingunge Tena wewe ni Mwasisi wa Chama chetu twende mahakamani kupinga matokeo kwa vile Taratibu zimekiukwa mno. hii siyo sawa, siyo kwamba nina mtu wangu hapana tufuate taratibu kwani Tanzania ni yetu sote
 
Naomba tena niseme Lowassa aingia Ukawa agombee jimboni kwake kisha apewe Uwaziri Mkuu ili waliomnyanyasa Kisaikolojia waumia wao njoo baba yetu sisi tuna kuhitaji bado tuko wengi hasa chadema njoo usijali
 
Imekuwa ni jadi sasa kwa Watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za CCM zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 Rais wa sasa Kupitia C CM Kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la Mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja Dr. Magufuli
ghafla Watanzania naona wamesahau taabu na suluba zilizosababishwa na uongozi wa chama kile kile cha CCM. Sasa watu wameanza tena kuweka matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na Dr.Magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo Dr.Magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia? Wakati wananchi tukiendelea kupigika ndani ya utawala wa CCM, Dr.Magufuli alikuwa ni sehemu ya uongozi uliotufikisha hapa. CCM ina sera ambazo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza.

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!
 
Naomba tena niseme Lowassa aingia Ukawa agombee jimboni kwake kisha apewe Uwaziri Mkuu ili waliomnyanyasa Kisaikolojia waumia wao njoo baba yetu sisi tuna kuhitaji bado tuko wengi hasa chadema njoo usijali, sisi vijana wenzako tunakuhitaji sana tena sana
 
Imekuwa ni jadi sasa kwa Watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za CCM zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 Rais wa sasa Kupitia C CM Kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la Mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja Dr. Magufuli
ghafla Watanzania naona wamesahau taabu na suluba zilizosababishwa na uongozi wa chama kile kile cha CCM. Sasa watu wameanza tena kuweka matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na Dr.Magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo Dr.Magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia? Wakati wananchi tukiendelea kupigika ndani ya utawala wa CCM, Dr.Magufuli alikuwa ni sehemu ya uongozi uliotufikisha hapa. CCM ina sera ambazo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza.

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!

Umemaliza kabisa,tujitahidi kutoa elimu ya uraia ili watu wajue wajibu wa kupiga kura.
 
Alatuhiga Angalia history ya utendaji tangu nyuma,kikwete alipokuwa waziri bado hakuonyesha ukali wala kukemea watumishi wa serikali wazembe,magufuli ni tofauti,utendaji wake unaonekana katika kila wizara aliyopita,mbona unashindwa kutofautiaha mambo
 
Nina wasiwasi na watu wanaomtetea Lowasa.Si wana CCM pekee bali hata wapinzani wenye nasaba flani.Tena hawa walikuwa tayari kuitosa CDM alimradi apite Lowasa kwa sababu hiyo.
 
Kingunge ana machungu bado, kuvuliwa gamba kuna maumivu makali, hajapoa!
 
Kingunge alipoteza uhalali wa ku-influence CCM pale alipoamua kumshabikia mtia nia mmoja waziwazi!
Angebaki neutral leo akasema aliyosema angesikilizwa!!!
1. Kanuni zilikiukwa mtu wake alipopiga kampeni wakati wa kutafuta wadhamini...hilo halisemi.
2. Hatuna hakika kanuni zingekiukwa kumpendelea mtu wake leo angesema hayo anayosema.
3. Walienguliwa kina Malecela hatukusikia anafunua mdomo.
4. Kingunge huyu huyu ndie aliwaponda wakina Sitta mambo ya Chama kuyaanika hadharani badala ya kupeleka kwenye vikao vya Chama...Leo yeye hanung'unikii kwenye vikao anaanika udhaifu wa CCM hadharani!!!!
Kwa sasa tunaona kama maneno ya mkosaji na tunajiuliza amekoseshwa nini na mtu wake kuenguliwa!!!
 
Back
Top Bottom