Hatimaye mzee Kingunge Ngombale Mwiru kada wa muda mrefu CCM amekiri kuwa hakuwa anafahamu vyema mambo yanayoendelea ndani ya CCM na kukiri wazi kuwa alipotoshwa na mtia nia mmoja wa urais na kundi lake kupitia CCM.
Mzee Kingunge amekiri kusononeshwa na alichokiita kuwa waraka wa makubaliano alioletewa ambao alidhani kuwa umetoka kwa kiongozi mmoja wa juu serikalini ukionyesha kumuunga mkono mtia nia huyo. Aidha mzee Kingunge anasema kuwa baadaye alibaini kuwa amechezewa sarakasi na mtia nia huyo. Mzee Kingunge amedai kuwa kwa sasa atakaa kimya kuhusiana na mambo ya urais ndani ya CCM hadi hapo mgombea wao atakapopatikana.

Njaa inamsumbua atwambie Lowasa alimpa Tsh.ngapi?
Source wapi,Habari za uzushi huu,moderator mpo wapi toeni uzushi huu
alishawakilisha :rais wa 2015 anajulikana kwa sisi tunaojua kusoma alama za nyakati.