Kingunge na Sumaye waliikata pimzi UKAWA?

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
Kada wa wa zamani wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru alipokihama chama hicho alitamka maneno mengi ya kejeli. Alitamba kwamba ccm hakiwezi kushinda uchaguzi mkuu huu uliopita.

Kingunge akizungumza na vyombo vya habari alisema aliamua kujitoa na kuungana na Edward Lowassa. Safari ya kingunge kwenda UKAWA ilikuwa samabamba na aliyekuwa waziri mkuu mstaafu Fredirick Sumaye, Bakari Juma Mwapachu, Lawrence Mash na wengineo.


Katika kejeli zake Kingunge alisema CCM hakiwezi kuwa chama cha kutetea wananchi tena. Hilio lilikuwa jambo la ajabu kutoka kwa kada huyo, Hivi ni lazima kada anapokihama chama arushe makomboro kama hayo ya mipasho kwa
chama anachokihama?


Nidhhiri Kingunge alishinda kuheshimu kitu kimoja tu, HAKI. Aishindwa kuheshimu haki za watanzania wanaoamini kuwa CCM bado inaweza kuendesha nchi hii kwa salama kulikoi UKAWA amabao wamekuwa mabingwa wa migomo, maandano yasiyokiuwa na kichqwa wala miguu,, uchochezi na kusambaza propaganda hasi za kuvuruga utulivu.

Wakati Kingunge alisema CCM imekata pumzi hebu tuangalie ni nani aliyekatwa pumzi baina ya UKAWA NA CCM?

bila shaka jibu litakuwa ni ukawa ndio waliokatwa pumzi kwa kuwa walishindwa uchaguzi, je ni nani aliyewasababishia UKAWA kukatwa pumzi kama si Kingunge na ccm b waliokwenda ukawa?
 
Sumaye siku hizi anaibuka misibani, Kingunge sijui kapotelea wapi lakini ndio kuishiwa pumzi huko kwi kwi kwiiiiii
 
Back
Top Bottom