Anaweza kupokelewa ili afukuzwe vizuri. Au anarudi akiwa sio kiongozi wa ngazi yoyote hivyo hana athari yoyote. Waliofukuzwa walikuwa viongozi.Kingunge hakuwahi kutoka ccm...hakujiunga na CDM ...yeye alikuja kuweka nguvu tu kwa lowassa ambaye aliamini kuwa kiongozi bora kuliko magufuli....
Hivyo anarejea wapi sasa ?
Tuseme anataka kurudi kwao ok fine ...hio itakuwa unafiki mkubwa wa ccm kumpokea...watakuwa watu wa ajabu sana kwani mtakumbuka hivi majuzi iliwafukuza wote walokua na msimamo wa kingunge hawa kina Sophia Simba na wenzake...hivyo hili litaonesha kuwa hawana msimamo.
Umri ushaenda kaka arudi ccm iri afanye ninitenaà ana jipyaaKuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
yaani hawa, wakitoka wanatukanwa na kukashifiwa na kurudi vile vile wanakuwa wasafiWalimpokea wasira juzi wakampokea mwapachu wakampokea slaa wengi tu wapowapokea aka.matapishi
Post sent using JamiiForums mobile app
Duh!Aliondoka jahazini kwenda kwenye kaboti, kaboti kakazidiwa upepo na mawimbi, jahazi linasepa, akirudi poa kwa ushauri ili nafikiri wa kijani wanahitaji damu changa machachari wanaojiamini...
Biashara nzuri. Lile deni la bil 7 mnamaliza kulipa lini?!KUMBE umenielewa. ndo hivyo ujue. ata wewe kama unafaida tunakutumia. kama ni galasha tupilia mbali hunafaida
We Jamaa mwongo na mjinga sana leo ndo nimegundua hili! Kingunge aliachana na dini baada ya kuwiva Itikadi za kijamaa za Warusi na aliporudi toka urusi ndo aliachana kabisa na dini Acha uongo wa kitoto.Alijitoa kwny Ukatoliki akiwa Kidato cha Pili baada ya kuzinguana a na Ma Padri kwny Misimamo ya Kisiasa wakat wa Ukoloni
Hamna wasiwasi.MAGONJWA MTAMBUKA ni shida kupona🙄
Guninita.nyie mlikua na nsimamo kumpokea lowasa? na badae sumaye??....nyie watu bana sijui mkoje
Post sent using JamiiForums mobile app
hana njaa itakuwa akili imezeekaHUYU MHENGA ANATANGATANGA TU...
NJAA MBAYA SANA
Post sent using JamiiForums mobile app
muulize SIZONJEBiashara nzuri. Lile deni la bil 7 mnamaliza kulipa lini?!
Mwandishi mmoja wa riwaya aitwae JAMES HADLEY CHASE aliwahi kutunga kitabu kinaitwa YOU ARE LONELY WHEN YOU ARE DEAD. Kingunge was lonely; he was dead. Ni ubinadamu tu mtu kupigania uhai wake asife. Poor fellow!Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Hakuna wasi???? hujui hata utapona lini kama kansaHamna wasiwasi.
Ni kweli ila alikisaliti chama chake cha ccm kwa kukifanyia kampeni chama cha ukawa kwenye uchaguzi mkuu wa 2015.Kingunge hakuhama CCM na hakujiunga na chama kingine chochote kile
Akikujibu fanya kunitag mkuuKwani Lowasa au Dr Slaa na yule Sumaye waliwahi kurudisha kadi za CCM?!!
We Jamaa mwongo na mjinga sana leo ndo nimegundua hili! Kingunge aliachana na dini baada ya kuwiva Itikadi za kijamaa za Warusi na aliporudi toka urusi ndo aliachana kabisa na dini Acha uongo wa kitoto.
Post sent using JamiiForums mobile app
atapokelewa halafu atasomeshwa namba kama kawaidaKingunge hakuwahi kutoka ccm...hakujiunga na CDM ...yeye alikuja kuweka nguvu tu kwa lowassa ambaye aliamini kuwa kiongozi bora kuliko magufuli....
Hivyo anarejea wapi sasa ?
Tuseme anataka kurudi kwao ok fine ...hio itakuwa unafiki mkubwa wa ccm kumpokea...watakuwa watu wa ajabu sana kwani mtakumbuka hivi majuzi iliwafukuza wote walokua na msimamo wa kingunge hawa kina Sophia Simba na wenzake...hivyo hili litaonesha kuwa hawana msimamo.