My take: Kupitia hili Sakata la kesi ya Mbowe, Tigo wamepoteza sana uaminifu kwa Wateja, na hivyo inaweza kuathiri pakubwa tu. Tigo Wana kibarua kizito kirudisha Imani kwa Wateja.

Turudi mada hakuna mitandao yeyote hapa Tanzania ambayo itaombwa taarifa zako wakaacha kutoa.
Mimi halotel waliwachorea ramani wakaja mpaka ninapokaa na sijahama mtandao.maana najua NI kawaida