Kingereza na haya yatakufanya upate kazi

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Eidha wewe ni Form 4, Form 6 au muhitimu wa chuo lakini hupati kazi kwasababu huna Cover Letter ya kisasa, CV inayoonyesha Pofile iliyoshiba na yenye mwonekano wa kisasa (Human Relations ina trend zake pia),NITAFUTE.

Au unavyo hivyo nilivyovitaja lakini huwezi kujieleza na kufanikiwa kwenye Interviews (ieleweke kuwa, nyakati zetu sio enzi za kukariri nini cha kujibu kwenye Interview, ni nyakati za kuwa "Responsive" kwasababu HRs/Interviewers wameshashtuka kwahiyo mara nyingi maandalizi yako ya majibu kwenye Interview huishia bure bila kutumika maana walikuja usivyotegemea),NITAFUTE.

Kama hivyo hapo juu unavyo ila tatizo ni Vyeti, NITAFUTE.

Note: Mimi sitafutii watu kazi, mimi nimefuzu kwenye maeneo mawili ambayo huwezi kuniepuka kama kweli unatafuta kazi na umekwama lakini hujakata tamaa na ni lazima upate kazi (ajira ya kawaida au a dream job):

Mimi ninaandaa (1) Documents (Cover Letter, CV, Previous Employers Credentials - Salary Slips, Acceptance of Job Resignation/Termination na Reference Letters, Certificates).

(2) Presentation. (How are you presentable? makaratasi na uzoefu unaweza kuwa navyo but how do you sell yourself?) kwa maana nyingine mimi ni Couch.

I can build your self confidence, I can make your mind speak your CV, I can couch you to beat that Interview.

Caution: Sijapost uzi huu kuprove myself, hivyo sitajibu swali lolote, nimepost kwaajili ya wale wenye shida...narudia, WENYE SHIDA.

Reminder: Sifanyi kazi bure. (ingawa nina moyo wa kujitolea kama kweli nitajihakikishia kwa namna yoyote unahitaji msaada). Bei zangu ni negotiable.

Nipigie 0765 900224.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom