Haaaaaa mkuu huyo ni mwanamke aiseee sema ache kuleta habari za Instagram na Fb huku Greater thinkersWanaume wa Dar utawajua tu. Sasa hii ni habari mpaka uilete huku.!!??? Umbea utakuja kuwaua kichwa maji ww.
AhahahahhaahhUnamdomo kama youngkacha🤣🤣, nimekwambia tuma vocha inbox , nimekupa interview ndogo tu unashindwa, mxieeew unataka mambo mazuri pesa huna , nipishe mie
Sasa hasira za nini ndugu yangu? Kuna aliyekuita? Ebu kaoshe kende uko
Kuongea kiingereza ndio kichwani zimo?Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake