afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
Salaam,
Nimekuwa nikitumia startimes decoder zile za zamani za antena thou situmii antena waya unaishia dirishani na napata channels.
Ni mpenzi wa mipira ligi zote, Budesliga, Scotland, Turkish, EFL, La liga etc
Napenda investigation discovery channel ya startimes na documentaries kama hizo, wild life.
Recently kimeanza kusumbua kupoteza clear kuzima picha ilhali kiko on, ukizima kuwsha inaonyesha baadae inazima tena picha (process za kukipeleka ni muda na sinaga muda mzuri)
huwa simply nalipa 18 monthly but now nawaza kuchange nione wengine wakoje but sipendi kulipia lipia hela zaid ya 18 au 20 na pia nisipolipia sipendi kukosa channels local zote.
Je, niende kwa kampuni gani, maana mambo ya kurudisha hiki kitengenezwe naona mlolongo nashawishika kununua kipya tu.