naomba frequency kwenye azam
1.Rudia hatua ya kwanza na ya pili hapo juu.
2.Bofya satellite mpya. baada ya kubofya neno "satellite list"
3.Baada ya kubofya satellite mpya,upande wa kulia ndipo itahamia selector.
4.Bonyeza "add" kwa namna ileile ya rangi.
5.Utapata kibox chenye maneno transponder(TP),symbol rate(SR) na polarization(P).
6.Ingiza hizi frequency tano kwa kuanzia ambazo kwa pamoja zina 24 tv's and 5 radios stations.
A)12645 30000 H
B)10962 03255 H
C)11192 03210 H
D)12520 27500 H
E)12728 30000 H
Note kuwa namba hizi kwa A mpaka E zina mafungu matatu.Fungu la kwanza ni TP,la pili ni SR na herufi H ni polarization.Utajaza frequency ya kwanza (A) Kwenye hivyo vyumba,bonyesha Ok kusave.
7)Litarudi tena box la kuadd frequency.So utarudia zoezi hapo juu kwa kujaza B mpaka E.
8)Bonyeza exit
9)Bofya menu>search>autosearch>OK
10.Litatokea box la satellite ya zamani.Bofya right arrow itakuja satellite mpya.OK tena.Hapo itaanza kusearch na ikimaliza itarudi yenyewe kwenye chanel ya matangazo.
Kuangalia chaneli zako mpya click Ok then left arrow.Hapo zitakuwepo radio.Bonyeza tena left arrow utaziona Tv channels mpya(other chanels).
Pongezi Kwa -
Mnyakatari