kamgisha rweyongeza
Member
- Oct 21, 2018
- 68
- 25
N nan anipe ubora wa Kingamuzi cha TING ambaye anacho na anaktumia.na je chane za bure zinaonekana iwapo kifurushi kimeisha
Asee may b kwa sasa pcha ztakuwa ubora c technolgy imekuwaKwa kifupi kisimbuzi cha Ting hakina uangavu mzuri wa picha.Ni miaka karibia mitatu sasa tangu niachane nacho na kwenda kwa Azam.Nilinunua 130000tsh Songea.Wakati huo chaneli za bure zilikuwa Agape, TBC na vichanel vya dini.Ila ninachokimisi kutoka kwao ni Dubai One.Hiyo channel ni full series za ukweli.
Yawezekana mkuuAsee may b kwa sasa pcha ztakuwa ubora c technolgy imekuwa