Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,425
- 8,368
Nina mpango wa kunua King'amuzi cha Startimes kinachotumia dish. Hivyo naomba kwa yeyote ambaye ameshanunua na anakitumia anijulishe kuhusu ubora wake. Je, hakisumbui kama vile vingine vinavyotumia antenna?
Nakushauri kwa ubora wa picha na vipindi vizuri ununue kisimbusi cha azam
Wengi wanapenda Star times kwa ajili ya chanel ya TV 1!
Hii chaneli imetoa mvuto wa pekee kwani star times ni majanga!
Watanzania bwana, hiyo TV 1 yenye vipindi vya miaka mitatu iliyopita vya MTV Base na E!?
Startimes mbona ina channel nyingi nzuri za music, movies na vipindi vya kawaida?
Wengi wa wanaolalamikia Startimes huwa wale wa habari za mtaani.
Mimi nina DStv na Startimes, sitaki kuiponda Startimes kuwa eti majanga.
Kwanza sijajua hata angle waliyoingia maana kama ni degree 10' pale ipo star time kwa C-BAND.
Wapo inapopatikana zuku degree 5E
Wadau vipi Visimbusi vya startimes vinavyotumia dish? ni HD na vina record pvr?
Startimes Hamna kituWadau vipi Visimbusi vya startimes vinavyotumia dish? ni HD na vina record pvr?