NGARUKA
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 402
- 71
Jamani mimi ni mteja wa Continental decoder,jamani hawa jamaa hv kweli wako siriasi na wanachokifanya.
1. Page yao Facebook wameitelekez wanaingia pale kurekebisha bei ya decoder kisha wanasepa,hawajibu comments za wateja wao kabisa.
2.Namba zao za simu hazipatikani mpaka kesho,kila siku.
3.Matangazo ya kurekebisha yanafanyika STAR TV wakati hii channel haipatikani kwa Watz wengi wale watumia FTA dishes,zuku,Azamtv,cables n.k
Hv hawa jamaa walikurupuka kuanzisha king'amuzi kwa kuiga tu au kweli wanajali wateja wao.
Najuta kununua Continental anyway nimehamia Azamtv.
Anayetaka Continental anitafute elfu SITINI TU.