King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

Bado unauliza swali kama hili?kweli watu wagumu wa kuelewa MAMLAKA YA MAWASILIANO INA KAMPUNI TANO ZINAZORUSHA MATANGAZO YAO BURE
1.CH TEN
2.TBC1
3.ITV
4.EATV
5.STAR TV.
HIZI HATA UKILETA KINGMUZI CHA WAPI SHARTI UZIRUSHE BURE.
mbona DSTV wanarusha TBC tu?
 
Ni kweli ni kizur lakin uzur wake haufany dekoda zingne kutupwa
 
Mbona hicho cha kurekodi ninacho cha TING toka 2010!Hiyo cotinental bado haijawa habari ya mujini mkuu
 
Mbona hicho cha kurekodi ninacho cha TING toka 2010!Hiyo cotinental bado haijawa habari ya mujini mkuu kama ishu ni uwezo wa kurekodi
 
Mkuu hebu tujuze,
1. BEI YAKE
2. SOME INTERESTING CHANNEL
3. COST MonTH
4. WEBSITE YAO
2. TOFAUTI YAKE NA DIGI TEK
 
Last edited by a moderator:
mwisho wa matatzo ni dish la futi 6 na receiver ya mediacom au yoyote ile ukifunga c band yako moja unapata channel 11
 
TCRA bado ufuatiliaji wao wa hizi Kampuni zenye ving`amuzi kwa sasa sio mzuri.Zila chanel 5 walizosema zinaonyeshwa bure hata kama hujalipia malipo ya mwezi sio kweli.Mfano ni Kampuni ya TING usipolipa malipo ya mwezi ya sh.10000 huoni hata stesheni moja.Aidha hakuna mfumo wa kuripoti kwao wanapokukatia huduma hiyo na badala yake TCRA wanakwambia uwasiliane na watoa huduma.Ikiwa hili linawashinda sembuse huo utitiri wa ving`amuzi unaoashiria kuja hivi karibuni. Au labda wanahisa kwenye hii Kampuni ya TING ndio maana wanachemka na hakuna wa kuwakemea.
 
Mkuu Mjepu nadhani nia yako ni kusema "visimbuzi" na sio "visambuzi". Kisimbuzi kinafanya kazi ya kusimbua. Hicho unachokitaja "kisambuzi" kitakuwa kinafanya kazi ya kusambua, sidhani kama ndio kusudio lako.
Asante kwa kuthamini kiswahili.

Aksante mkuu Maamuma kwa maelezo mazuri sana.
 
Last edited by a moderator:
John Mnyika Zitto @Nnauye Jr tusaidieni wateja wa stat times hatujui tunachouziwa ndio technolojia ya sasa au ya kale
 
Last edited by a moderator:
Bado kimya hadi leo? Au tayari vimeingia sokoni.
 

DSTV pia tupa kule?
 
Mzee wa mia mbona hufunguki kujibu maswali ya watu humu??

 

hahahaa kama nakuona vile unavorusha makono, eti tupa kule, tupa kule..
mbona hata digitek pia tunarekodi!
 
Ambao wameshanunua watujulishe channel zilizopo naona Star tv wanatangaza vimeanza kuuzwa Dar na Mwanza kwa laki na elfu 30 bila kutaja channel wanataja idadi tu.
 
kuna mwenye hichi king'amuzi atupe mrejesho wa perfomance yake...
vipi kuhusu quality (audio+picture) ..?
signal strength ikoje..?
kuhusu antenna inahitaji ipi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…