figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,180
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Local chanel zipo ngapi???au unabwabwaja tu ili tukuone???:banghead:
ndo cha kina nani hicho mzee wa .mia
Kwani unafikiri chenyewe kitagawiwa bure, nacho kitahitaji fedha mkuu,kwa hiyo sababu zilizowafanya washindwe kununua cha Startimes ndo hizohizo zitawafanya washindwe kununua na hicho kipya.Sasa wewe kuwa mwanaume kama vipi waambie kuwa hutaki wageni maana still they have a long way to go for sure mpaka waweze kununua cha kwaoBora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Hebu tupe website yao tuone vifurushi na bei zaohiki cha hawa jamaa wa mwanza startv. mia
Da hii dijitali imenikumbusha miaka ya 47 ambapo tulikuwa tunaenda kusikiliza taarifa ya habari kwa balozi wa nyumba kumi au kwa mwalimu mkuu ,watu walishindwa kuwa na radio kwa kuwa na bei pia kulikuwa na kodi ya radio, kodi ya baiskeli hata hizi TV zilipoanza zilikuwa zinalipiwa kodi.Kwani unafikiri chenyewe kitagawiwa bure, nacho kitahitaji fedha mkuu,kwa hiyo sababu zilizowafanya washindwe kununua cha Startimes ndo hizohizo zitawafanya washindwe kununua na hicho kipya.Sasa wewe kuwa mwanaume kama vipi waambie kuwa hutaki wageni maana still they have a long way to go for sure mpaka waweze kununua cha kwao
Dawa ndogo tu mkuu. Weka kiingilio cha taarifa ya habari. Kama unawaonea aibu jirani zako we ni- pm nije kukaa golini.Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia