King'amuzi cha Continental hakipo hewani wiki mbili sasa!

UMBEEE

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
41
Reaction score
22
Wana JamiiForums naombeni hili swala hili, king'amuzi cha continental kutokuwa hewani kunasababishwa na nini? Sasa ni takribani two weeks!
 
jamiiforum naombeni hili swala hili king'amuzi cha continento kutokuwa hewani kunsababishwa na nini? sasa ni takribani two weeks

Mbona walishatangaza kuwa kuna tatizo la satellite wanayochukulia mawasiliano?!!! Na ni dunia nzima
 
Hata Ting nao hawapo hewani kwa sababu hiyohiiyo....
 
Continental decoder kwa sasa wanapatikana katika satellite ya ABS iliyoko nyuzi 3 magharibi ya Greenwich katika frequency 11150 Symbol rate 45000 V kama umelaza LNBF yako.
 
Continental decoder kwa sasa wanapatikana katika satellite ya ABS iliyoko nyuzi 3 magharibi ya Greenwich katika frequency 11150 Symbol rate 45000 V kama umelaza LNBF yako.

Kwa sasa kinasumbua tena,mfano jana channel zimekimbia zimebaki saba tu sijuhi tatizo ni nini?
 
Hakisumbui weka LNBF yako vizuri.
 

Attachments

  • 1450503287778.jpg
    50.8 KB · Views: 108
Hata sasa naangalia channel nyingi tu hakisumbui
 

Attachments

  • 1450503432809.jpg
    73.3 KB · Views: 121
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…