Yasser
Member
- Nov 27, 2007
- 52
- 28
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..!
Natumia Iphone 6 plus pia nimejaribu kwenye iPhone 8 .
Je,hili ni tatizo kwa wote ?
Je kuna njia ya kufanyikisha hili ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Natumia Iphone 6 plus pia nimejaribu kwenye iPhone 8 .
Je,hili ni tatizo kwa wote ?
Je kuna njia ya kufanyikisha hili ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.