Nafikiri ungewapongeza Azam kwa kubadili lesen na sio serikali...Naipongeza serikali kwa kutoa kibali kwa Azam kurusha channel za Tanzania bure maana nilishaanza kukichukia hiki king'amuzi. Hongera sana Waziri.View attachment 1097617
Ndani ya miezi saba 2020Zitaanza kuonekana lini mkuu??