Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
kutokana na kuongezeka na kundi la watu wasiofahamika ambao wamekuwa wakitenda ama kutekeleza aina mbalimbali za kiuhalifu, tunaliomba jeshi la polisi litupe mbinu mbadala ya jinsi gani tunaweza kukabiliana na watu hao.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA
KINGA NI BORA KULIKO TIBA