255 Systems
Member
- Aug 31, 2013
- 29
- 5
Mkuu, mko wapi? Nimetafuta sana hii kitu kwa siku nyingi lakini nikakosa uhakika wa mahali mlipo.
Mna ofisi yoyote mwanza, au kama hakuna mnaweza kufanya utaratibu upi nikihitaji huduma yenu nikiwa mwanza? Ukinijibu hili nitakupm ili tuongee biashara.tupo Regent Estate,Kairuki Road kona ya kwanza kulia karibu na msikiti wa Mama Salma.contact zangu zipo hapo kwenye post ya kwanza,karibu sana.
[h=2][/h] tunafanya kazi mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar,just pm me for serious discussionMna ofisi yoyote mwanza, au kama hakuna mnaweza kufanya utaratibu upi nikihitaji huduma yenu nikiwa mwanza? Ukinijibu hili nitakupm ili tuongee biashara.
tunafanya kazi mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar,just pm me for serious discussion.
Mkuu, mie nipo Mwanza, nahitaji sana hizi tents kwa size ambayo nitapaki gari moja tu, so kwa Mwanza mnapatikana wapi?. Eee bana hebu nipe details za kutosha then muda mfupi ujao niwazukie ili nikamate moja size ya kupaki gari moja, na pia usisahau kuniambia bei kabisa ili nijipange kisawasawa kabla sijatimba mitaa.
Many thanks.
mkuu mm naomba nijue bei ya ukubwa wa kupaki garitunafanya kazi mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar,just pm me for serious discussion.
mkuu mm naomba nijue bei ya ukubwa wa kupaki gari
gari aina ya rav4bei inategemeana na design unayotaka wewe pamoja na ukubwa unaouhitaji.shades kwa ajili ya magari madogo bei yake ni tofauti na ya gari kubwa(malorry). unahitaji kwa ipi?
Ushauri; shade ya gari moja naweza kukufanyia lakini huwa haiachi muonekano mzuri,yaani structure yake haivutii.gari aina ya rav4
Ushauri; shade ya gari moja naweza kukufanyia lakini huwa haiachi muonekano mzuri,yaani structure yake haivutii.
bei ya single car shade ni 1.8 ml??????????? mkuu wangu kama upo dar na ya magari mawili tunafanya kwa 2.6?????????????
asante sana mkuu kwa taarifa na biashara hii
Prado ni gari ndogo mkuu,kama nilivyoshauri hapo juu,tent ya gari moja haivutii but we do it for 1.8 na ya magari mawili ambayo ni standard tunafanya kwa 2.6 na maelewano yapo ndugu.Karibu sanaNiambie bei ya tent ya prado tafadhali