Ilibidi aongee na Airo kwanza? Ameifanyia nini CDM mpaka sasa hivi!>Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..
Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!
Ilibidi aongee na Airo kwanza? Ameifanyia nini CDM mpaka sasa hivi!
SIPATI PICHA ukiwa Mbunge harafu yakatokea kama Yalompata Mr mbili.Aisee utawatwanga vibaya sana ngumi za Usoni.hao askari watakaojipendekeza.
Go mada.Na wewe Matumla,ukistaafu gmbea kupitia ccm.
Moses Machali, nakuja na CCM yangu! lazima nimkalishe tena
Sitashangaa ata dazbaba pia kugombea kupitia cdm. Ata matonya pia katangaza kugombea bahi kupitia cdm
nadhani kuna haja hata francis cheka achukue fomu ya ugombea kupitia cdm 2015 ni muafaka kupeleka wataalamu msuli ili ujinga anaofanya ndugai ufikie kikom . Safari hii simmeona tunapeleka mabaunsa full mzinga ili ccm wanywee.sipati picha ukiwa mbunge harafu yakatokea kama yalompata mr mbili.aisee utawatwanga vibaya sana ngumi za usoni.hao askari watakaojipendekeza.
Go mada.na wewe matumla,ukistaafu gmbea kupitia ccm.
sitashangaa ata dazbaba pia kugombea kupitia cdm. Ata matonya pia katangaza kugombea bahi kupitia cdm
Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..